Usalama na Kuamininika - Vyote Hivi Ndani ya Slotpesa
Sisi ni kampuni ya kwanza kabisa ya kasino inayoaminika mtandaoni. Tunatoa huduma za Kuweka na Kutoa pesa kwa njia ya haraka na salama kabisa kiasi ambacho unaweza kushinda mpaka TSH 2,500,000 kila siku. Pia tunazingatia usalama na matatizo katika account za wateja na pia kuwapa msaaada kwa wakati pale wanapohitaji. Kwenye tatizo lolote linalohusiana na wateja wetu tuna njia maaalum ambayo wateja wetu wanaweza kutufikia kwa urahisi. Njia hizo ni Mawasliano ya moja kwa (Live Chats), Messenger, Telegram na pia tuna Huduma ya simu ya moja kwa moja namba (0769-544445) ambayo ukiipiga utawapata wahudumu wetu wa kukuhudumia kwa haraka.
Kutokana na yaliyotajwa hapo juu, tuna mchakato rahisi sana upande wa kujisajili kwenye ukurasa wetu. Utahitajika kuwasilisha nambari yako ya simu, tarehe pamoja na mwaka wa kuzaliwa ili kuthibisha umri wako,maana wanaotakiwa kujiunga na mchezo huu ni wale wakuanzia miaka 18. Kitakachobaki ni kuthibitisha nambari yako ya simu ya mkononi utakayotumia. Na pia lililo zuri ni kwamba huwa hatufungii account za wateja.
Pia Tunafanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha unapata urahisi katika matumizi bora ya kasinio yetu. Na tunakuhakikishia usalama katika matumizi yake pia.