Promosheni

Jackpot

Slotpesa ina Jackpot ya kipekee, inayokujia mara kwa mara na inayoendelea ambayo imetengenezwa kwa namna unavyoshiriki . Ushindi mkubwa wa fedha halali inayoongezeka kulingana na ushiriki wako. Jackpot inasubiri mzunguko wako mmoja wa bahati au cheza mchezo itakayokufanya uwe millionea. Jackpot yako ina hatua (4) nne:

1. Mega

2. Grand

3. Major

4. Mini

Kumbuka: Hatua zote za ushindi zinafanyika kwa uwazi mbele yako. Na itakuwa inapatikana saa 24/7 kwenye tovuti yetu.


Jinsi ya kushinda Slotpesa Jackpot?

1. Jisajili au ingia kwenye Slotpesa!

2. Tengeneza Mizunguko yako!

3. Furahia Ushindi! Bahati njema!